Meena el-bahssan (@meena_ally)

🇹🇿
Media Personality|Youth Activist|Entertainer|Creative|
🎧 AMPLIFAYA/NIAMBIE @cloudsfmtz
WATCH BSS | YMASHARIKI @y254_channel

1.7K posts
374.9K followers
1.9K following
1.7K posts
374.9K followers
following
Advertisement
Advertisement
Ilikua poa sana kukutana na @realshinski na kufanya nae mahojiano, considering sio mara nyingi ye hufanya interviews! Interview coming out today! Nyash huanga mdeadly sana, na namuombea daily afike mahali ana-aim 😂 
Note : Nikiwaambia nimetoka kimaisha hamuamini 🤣😂, na Dar sirudi 😂😂
12.6K 194

Jamani nimetoka kimaisha 🤣😂🤣, tena nimeambiwa nina sauti nzuri! Ilikua kitu kikubwa sana kwangu jana kupata nafasi ya kuhudhuria Album listening party ya album #Wilmer ya kwake @patorankingfire na kupiga nae story mbili tatu, kila saa nlikua najiskia kumwambia "Im so excited its already weeekeeeendddd tururu tuntuntu tuuuuu" 🤣🤣😂🤣
@cloudsfmtz @cloudstv Interview kamili unaipata Youtube ya Clouds media!
🎬 : @teebchaly
8K 178

Pengine ulikuwa unataka kutoa mchango wako kwa watu wasio jiweze katika msimu huu wa ramadhani na hukujuwa wapi pakuanzia, basi ungana na @bolt_tz ilikuweza kufanikisha lengo lako. Chakufanya pakua app ya bolt katika simu yako siku ya Leo kuanzia saa sita mpaka saa nane mchana utaweza kuchagua kipengele cha "TO GIVE" dereva wa bolt atakuja kufata vitu vitu hivyo mpaka ulipo na kupeleka kituo cha watoto yatima cha Umra  #BoltRamadhaniTz, inaweza kuwa nguo, vyakula, sabuni, mafuta. @bolt_tanzania
8.5K 114

socviewer.com