Hamisi Mandi (@bdozen)

Radio Personality @cloudsfmtz
Born To Shine “The Company” MD
@dozenselection @borntoshine_ar
@borntoshine_clothing @borntoshine_store
#Proudly🇹🇿🇹🇿

2.8K posts
1.8M followers
959 following
2.8K posts
1.8M followers
following
#Repost @cloudsfmtz with @get_repost
・・・
East Africa Got Talent mapema leo iliwatangaza Majaji wanne watakao endesha mashindano haya makubwa yanayofanyika kwa mara ya kwanza katika ukanda huu wa Afrika Mashariki.

Majaji hao ni :- Gaetano Kagwa - Uganda, Vanessa Mdee - Tanzania, Jeff Koinange - Kenya na Contact Makeda - Rwanda.

Sasa kaaa karibu na #CloudsMediaGroup (#Tanzania), #RTV (#Rwanda), #NBS (#Uganda) na #Citizentv (#Kenya). Cc: @eastafricagt #EAGT #MPESAGlobal #RefreshedByCocaCola 
@OnebyOne2030 @TheAChallenge
2.6K 31

Ninayo Furaha Kuitambulisha Rasmi Logo Ya “BORN TO SHINE” ambayo Imengia kwenye Soko la Kimataifa. 
Hii haina maana ya kuwa ile “Trademark”yetu ya maandishi haitotumika tena; ila zote zitatumika kwenye matoleo ya bidhaa zetu zitakazo anza ingia sokoni siku sio nyingi.

Shukran za Pekee zije kwako tulioanza pamoja, mpaka leo tumefika hapa. Naamini isingewezekana bila ninyi.
.
.

Furaha niliyonaayo siwezi kuielezea ila kwa vijana wote wataftaji usikate tamaa. .
.
“AMINI KWENYE NDOTO YAKO”
.
.
Tafadhali tufollow kwenye official page ya Brand @borntoshine_clothing @borntoshine_clothing @borntoshine_clothing
.
.
Artwork by @jabeerfx
7.8K 395

socviewer.com